Hivi Unamchukuliaje Mpenzi Wako Mwenye Majibu Kama Haya Ukichat Nae - MULO ENTERTAINER

Latest

4 Jul 2015

Hivi Unamchukuliaje Mpenzi Wako Mwenye Majibu Kama Haya Ukichat Nae


Eti ukiwa unachat mpenzi wako anakupa majibu kama haya unamchukuliajeee
mfano

1.ukimwambia kila ukimwambia bby i love you much au nakupenda sana mpenzi wangu
yeye hujibu asante au thanks badala ya kusema i love you too mpenzi wangu

2.ukimtumia vocha hukaa kimya ukimpigia hujibu asante nimeipataa.

3.ukimwambia nimekumic mpenzi wangu hujibu asante au thanks au k thanks

4.ukimwambia kuhusu sex huandika k au sawa au bila kujibu

jee unamuongeleajee mpenzi kama huyu kwa wale wataalamu saikolojia