Nyumba ya Jay Dee Kupigwa Mnada Baada ya Kushindwa Kulipa Deni la Mkopo - MULO ENTERTAINER

Latest

4 Jul 2015

Nyumba ya Jay Dee Kupigwa Mnada Baada ya Kushindwa Kulipa Deni la Mkopo

Baada ya Judith Wambura Habash kushindwa kulipa mkopo aliokopa,nyumba yake iliyopo Mivumoni,Kinondoni imewekwa sokoni kwa ajili ya kupigwa mnada.

Mtakumbuka kuwa sasa hata Bar yake ya M.O.G imefungwa muda sasa.

Tumuombee Anaconda maana anapita kwenye wakati mgumu sana sasa hivi

Chachu Ombara/ Jamii Forums