DIAMOND PLUTNUMZ: Ahaidi kuwasaidia wasanii chipukizi katika maswala mazima ya muziki soma hapa zaidi. - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Aug 2015

DIAMOND PLUTNUMZ: Ahaidi kuwasaidia wasanii chipukizi katika maswala mazima ya muziki soma hapa zaidi.

I promised before with God's strength i will make sure i do all that i can to help young artists who are talented and gifted in music but they can not be able to afford the costs to make it in the music industry... InshaAllah on Monday for the first time I will introduce the first artist that i have Signed on XXL of @bdozen and all Media @Harmonize_Tz
( Niliahidi kuwa kwa uwezo wa Mwenyez Mungu nitajitahidi kuhakikisha nawasaidia vijana wenzangu ambao naamini nao wanauwezo Mkubwa wa kimuziki ila hawajakuwa na uwezo wa kujiwezesha kutoka...Inshaallah panapo majaaliwa Jumatatu kwa Mara ya kwanza Nitamtambulisha wa kwanza na Nyimbo yake kwenye Xxl ya @Bdozen na Vyombo vyote vya habari...) @Harmonize_Tz