Ujumbe Wa Maandishi Kutoka kwa Lowassa Kwenda Kwa Sumaye Kumkaribisha UKAWA - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Aug 2015

Ujumbe Wa Maandishi Kutoka kwa Lowassa Kwenda Kwa Sumaye Kumkaribisha UKAWA

"Karibu Ndugu Frederick Sumaye katika mabadiliko ya kweli. Tushikamane na tusimame pamoja na wananchi kuongoza hamasa ya watanzania wanaotaka mabadiliko kwa kuiondoa CCM kupitia UKAWA. Hakuna anayeweza kusimama kuzuia nguvu ya umma katika kufanya maamuzi sahihi na magumu Oktoba 25, Mwaka huu. Karibu mpambanaji Sumaye".-Edward Ngoyai Lowassa
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI