Jackline Wolper: Amwambia Chuchu Hansy ''Hakuna Kitu Kibaya Kama Unafiki'' - MULO ENTERTAINER

Latest

31 Aug 2015

Jackline Wolper: Amwambia Chuchu Hansy ''Hakuna Kitu Kibaya Kama Unafiki''

Staa wa filamu nchini Jackline Wolper, ameonesha wazi kuchukizwa na kitendo cha msanii mwenzake Chuchu Hansy ambae alikuwa ameungana nao katika kampeni za kumuunga mkono mgombea Urais kupitia umoja huo Mh. Edward Lowasa na baada ya siku chache Chuchu Hansy ameondoka Ukawa na kuamia Chama cha Mapinduzi CCM... Kupitia ukurasa wake wa Instagram Wolper amepost picha hiyo pamoja na kuandika maneno haya...