Kasoro DART: Milango ya Mabasi ya Mwendokasi milango yake iko kushoto wakati vituo viko kulia! - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Aug 2015

Kasoro DART: Milango ya Mabasi ya Mwendokasi milango yake iko kushoto wakati vituo viko kulia!

Hii ndio Tanzania bwana. Mabasi yaendayo kasi milango yake iko kushoto na vituo viko kulia. Sasa sijui wamefanya kinyume. Najaribu kuwaza kwa sauti.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI