TETESI MTANDAONI..ETI Wasanii Wasioiunga Mkono CCM Kukosa Airtime Clouds FM - MULO ENTERTAINER

Latest

22 Aug 2015

TETESI MTANDAONI..ETI Wasanii Wasioiunga Mkono CCM Kukosa Airtime Clouds FM

Nimepata taarifa kuwa kuna amri imetolewa kwa wasanii kumsuport mgombea wa CCM na CCM kiujumla, na atakaye kaidi hilo basi asahau kuwekwa hewani na chanel hiyo. Sina hakika maana mi si mmoja wa wasanii na wala sijapokea amri hiyo. Ila kwa haraka haraka nimejaribu kupitia account za wasanii wengi na kuanza kuamini hilo . Hapa chini nimeambatanisha baadhi ya screen short toka kwenye account za wasanii....

JE MWENZAGU UMEYASIKIA HAYO?




TOA MAONI YAKO HAPA CHINI