Mshindi wa Kura za Maoni CHADEMA Bunda Aliyekatwa na Nafasi yake Kupewa Ester Bulaya, Ahamia CCM - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Aug 2015

Mshindi wa Kura za Maoni CHADEMA Bunda Aliyekatwa na Nafasi yake Kupewa Ester Bulaya, Ahamia CCM

Wakuu, hatimae Pius Masului yule mshindi wa kura za maoni CHADEMA jimbo la Bunda mjini amehamia CCM akidai kutoridhishwa Na maamuzi ya CC ya CHADEMA Taifa kukata jina lake na Kumpa Mshindi wa Tatu Ester Bulaya

Chanzo: Radio Mazingira FM
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI