Utabiri wa TB Joshua Uko Palepale Uchaguzi 2015 - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Aug 2015

Utabiri wa TB Joshua Uko Palepale Uchaguzi 2015

Taarifa kutoka kwa watanzania walio enda TB Joshua walifika wakasema mbona ulisema Lowasaa atakuwa rais alafu akakatwa? Tb Joshua akawambia uchaguzi umesha fanyika wakasema apana akawambia nendeni nchini kwenu mkafanye uchaguzi Lowasa ndo raisi, siku wanafika Tanzania wakakuta ndo siku Lowassa anajiunga na CHADEMA ...Yakawafika Hapaaaaaa.........!!!
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI