Lowassa, wapo wapi wabunge 50 na wenyeviti 15 waliokufata? - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Aug 2015

Lowassa, wapo wapi wabunge 50 na wenyeviti 15 waliokufata?


Tuliaminishwa kuwa Edward Lowassa ataondoka na wabunge hamsini pamoja wenyeviti mikoa kumi na tano Kutoka CCM mbona hatuwaoni au wamekutosa?
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI