Breaking News:Aliyekuwa Waziri wa Utumishi wa Umma Celine Kombani Afariki Dunia nchini India - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Sept 2015

Breaking News:Aliyekuwa Waziri wa Utumishi wa Umma Celine Kombani Afariki Dunia nchini India


Aliyekuwa Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mh. Celine Kombani amefariki Dunia nchini India ambapo alikuwa huko  amelazwa kwa Matibabu

Marehemu Celine Kombani pia alikuwa Mgombea Ubunge kupitia Jimbo la Ulanga kwa tiketi ya CCM.

Kwa Taarifa zaidi kuhusu Kifo cha Mheshimiwa Celine Kombani tutaendelea kuwapa kupitia Blogu hii.


Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi.
Ameen.