Mwanamke Akinivulia tu Mgegedo Wangu Hausimamishi!!! Kuna Mwanamke Kanifunga Kichawi? - MULO ENTERTAINER

Latest

9 Sept 2015

Mwanamke Akinivulia tu Mgegedo Wangu Hausimamishi!!! Kuna Mwanamke Kanifunga Kichawi?

Mie Nikipata Mwanmke yeyote hata awe mzuri kivipi akinivulia tu mgegedo hulala palepale na haisimami tena! tatizo hili limekuwa likitokea mara kwa mara kiasi kwamba nahisi nimechezewa! au ni tatizo la kisaikolojia? na nifanyeje ili liishe? Maana napata Aibu sana na kuonekana si Mwanaume Rijali nimeanza kusikia Maneno mtaani kuwa mimi ni Bwabwa...Naomba Ushauri