Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, Ametangaza asubuhi ya leo katika kipindi cha kumekucha cha ITV kwamba anastaafu rasmi kazi yake ya Upolisi.Tunamtakia kila la heri huko aendako. Read more