Basi la Abiria Lagongana na Lori Asubuhi Hii.......Wawili wafariki Dunia Huku wengine Wakijeruhiwa - MULO ENTERTAINER

Latest

4 Jan 2016

Basi la Abiria Lagongana na Lori Asubuhi Hii.......Wawili wafariki Dunia Huku wengine Wakijeruhiwa

Basi la abiria la kampuni ya Luwinzo linalofanya safari za Dar es salaam - Njombe limegongana na lori asubuhi hii likitokea Njombe kuelekea Dar. 
Abiria wawili wameripotiwa kufariki dunia huku majeruhi wakiwa ni wengi. Ajali imetokea maeneo ya Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi.