Breaking News;Shehena Kubwa yakamatwa Bandari Bubu Tanga. - MULO ENTERTAINER

Latest

18 Jan 2016

Breaking News;Shehena Kubwa yakamatwa Bandari Bubu Tanga.

Shehena kubwa ya Bidhaa Haramu ikiwemo Matairi,sukari,mafuta ya kupikia imekamatwa Bandari bubu Tanga kutokea Zanzibar. Operesheni hiyo imefanywa na Mapolisi 100 ikishirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na Usalama. Vyombo vilivyohusika katika usafirishaji wa shehena hiyo vyote vimetaifishwa.
Walikuwa wanakwepa Kodi. Hii vita ya Uhujumu UCHUMI ni nzito.

Chanzo: ITV.