Breaking News:UKAWA Washinda kiti ca Umeya Kinondoni, 16 January 2016 - MULO ENTERTAINER

Latest

16 Jan 2016

Breaking News:UKAWA Washinda kiti ca Umeya Kinondoni, 16 January 2016

Vyama vinavyounda UKAWA vimeibuka na ushindi katika uchaguzi wa Umeya wa Manispaa ya Kinondoni baada ya kupata kura 38 dhidi ya CCM waliopata kura 20.
Meya mpya ni Boniface Jacob. Manispaa ya ilala zoezi bado linaendelea