Meek Mill na 50 Cent wameteka mtandao wa kijamii wa instagram baada ya kurushiana maneno makali na kutangaza rasmi beef kati yao.
Beef hii imetokana na maneno ya Meek Mill kwenye wimbo wake wa ‘Gave Em Hope’ kutoka kwenye mixtape yake ya Dream Chasers 4 Au 4-4 .
50 Cent aliandika kwenye instagram ujumbe huu ukiambatana na picha ya Meek Mill.
“Hey shit head, your career is over already,You better focus on getting Nikki pregnant so you can at least get child support girl.”
Haya ni mashairi ya Meek Mill kuhusu 50 Cent
“You popping shit on your Instagram, Shit that you’re popping ain’t adding up / Shit that you’re popping ain’t making sense / I got 50 reasons say you’re taking dick / And it’s 50 reasons I should kill, nigga / But, for real, nigga, I been taking trips with my Philly niggas / Got the richest chick, she’s from your hood / Niggas hating on me, I ain’t really tripping, shit, I’m good / I be in the 40 with the .40 on me like I should / I be deep in your ‘hood where you never be at / Be with them guys that you never could never dap / You could never adapt / You know the game, if you cosign a rat, you forever a rat / We were never with that / You tried to go ‘Money’ May with that paper, but now you in debt cause you never was that.”
Meneja wa Murder In naye aliandika kuhusu 50 Cent kwenye kurasa ya Meek Mill nakusema … “50 Cent amezoea kuwapa watu mambo ya uongo ,acha kushindana naye kama wewe ni msema ukweli hutoshinda”
50 Cent ameripotiwa hivi karibuni kuwa alisema uongo kuwa amepigwa risasi mara tisa kumbe alipigwa risasi mara 5 au 6.
Fahamu kuwa ni muda mzuri kwa Meek Mill kuwa na beef sababu ya kutangaza Mixtape yake mpya ili isikilizwe zaidi mtandaoni na kila inavyosikilizwa ndivyo anavyopata pesa na show nyingi zaidi, jina lake pia linaongelewa kila sehemu kwenye mitandao tofauti.