Lissu: Tunataka Rais Magufuli atuambie waliokwepa Kodi ni kina nani - MULO ENTERTAINER

Latest

14 Jan 2016

Lissu: Tunataka Rais Magufuli atuambie waliokwepa Kodi ni kina nani

Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mh Tundu Lissu amesema, tunataka Rais Magufuli atuambie, waliokaepa kodi bandarini ni kina nani na kwanini hatuwaoni Mahakamani.
Hatutakubali atuambie tu ameongeza makusanyo ya kodi. Atuambie waliokwepa wako wapi maana kukwepa kodi ni kosa kubwa kisheria"alisema Lissu"