Papa Francis (VATICAN), Ana Ushawishi Gani Zanzibar? Maalim Seif Amuomba Kusaidia Kupatika Suluhu - MULO ENTERTAINER

Latest

14 Jan 2016

Papa Francis (VATICAN), Ana Ushawishi Gani Zanzibar? Maalim Seif Amuomba Kusaidia Kupatika Suluhu

Out of Curiosity!
Imeripotiwa katika vyombo vya habari leo kuwa Maalim Seif, anayedai kuwa alipokwa ushindi katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar mwaka jana, amemuomba Papa Francis kusaidia kupatikana kwa ufumbuzi wa mvutano unaoendelea visiwani humo.
Nimejiuliza tu Papa au Vatican ina uwezo au ushawishi wowote katika kuingilia siasa za Zanzibar?!