Maalim Seif Ajitoa Mazungumzo Zanzibar....Afanya Kikao Kizito Cha Siri Na Lowassa Dar es Salaam - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Jan 2016

Maalim Seif Ajitoa Mazungumzo Zanzibar....Afanya Kikao Kizito Cha Siri Na Lowassa Dar es Salaam

Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania, Edward Lowassa wakati viongozi wa UKAWA walipokutana jijini Dar es Salaam, Januari 19, 2016.