Msikilize Hapa Zari Akiongelea Kuhusu Wema na Team Yake Kumtukana Tiffah, DNA na Katunzi - MULO ENTERTAINER

Latest

22 Jan 2016

Msikilize Hapa Zari Akiongelea Kuhusu Wema na Team Yake Kumtukana Tiffah, DNA na Katunzi

Diamond, Zari na Tiffah
Wiki hii inaisha huku kukiwa na stori kubwa zilizoanzia kwenye mitandao ya kijamii, majibizano yaliyofanya mpaka ishu ya watu kutaka DNA ya mtoto wa Diamond Platnumzna Zari iwekwe wazi ili ijulikane kama kweli ni mtoto wake.

Diamond alijibu hii ishu kwenye exclusive interview, na pia Soudy Brown kaamua kumtafuta Zari kusikia pia anachukuliaje hizo story za mitandaoni.

Zari kasema kachoshwa na maneno kuhusu mtoto wao Tiffah, kwanza hawahusu chochote kwa hiyo hata kama ni mtoto wa Diamond au sio wake, wanaozungumzia DNA hawamhusu chochote.
Kingine Zari amesema wana mtoto huyo mmoja lakini yuko tayari hata kuwa na watoto watatu na Diamond.

Soudy Brown ‘Makorokocho‘ na Zari utawasikia kwenye hii U Heard niliyorekodi na kukusogezea sauti yake hapa, bonyeza play uipate mtu wangu.