NECTA Watangaza Matokeo ya Darasa la Nne...Nimekuwekea Hapa - MULO ENTERTAINER

Latest

22 Jan 2016

NECTA Watangaza Matokeo ya Darasa la Nne...Nimekuwekea Hapa



Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya mitihani ya kujipima ya darasa la nne huku matokeo hayo yakionyesha wanafunzi wengi wamefeli katika somo la Kiingereza kwa asilimia 65.67 katika mitihani hiyo iliyofanyika mwishoni 2015.