Zari Amtupia Bomu Wema Sepetu, Amuonya Yeye Sio Level Yake - MULO ENTERTAINER

Latest

20 Jan 2016

Zari Amtupia Bomu Wema Sepetu, Amuonya Yeye Sio Level Yake


Bomu jipya kutoka kwa mama T, amuonya mrembo wema sepetu aache kuulizia DNA ya mtoto wake badala yake akapime ultra sound ya mtoto ambao anadai amembeba tumboni mwake, mrs T aliendelea kutiririka na kumtaka wema sepetu akashindane na level zake sio yeye