ALI KIBA na Sauti Soul Wanakuletea Video Mpya ya Wimbo Walioshirikiana Unaitwa Unconditionally Bae...Ali Kiba Kafunika Balaaa - MULO ENTERTAINER

Latest

11 Mar 2016

ALI KIBA na Sauti Soul Wanakuletea Video Mpya ya Wimbo Walioshirikiana Unaitwa Unconditionally Bae...Ali Kiba Kafunika Balaaa

Mabibi na mabwana Sauti sol kutoka  Kenya wametuletea video ya wimbo wa Unconditionally bae waliyomshirikisha Alikiba kutokea Tanzania

Unaweza ukaitama hapa chini nimekuwekea mtu wangu wa nguvu