Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Mbowe (wa pili kutoka kulia) akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Mhe. Edward Lowassa (katikati) pamoja na mke wa Mhe. Tundu Lissu, Alicia Lissu (wa kwanza kushoto) wakimsikiliza dereva wa Lissu, Simon Mohamed Bakari akieleza jambo wakati Mhe. Lowassa alipofika Hospitali ya Nairobi kwa ajili ya kumjulia hali Mhe. Lissu ambaye bado amelazwa hospitalini hapo akitibiwa baada ya shambulio la risasi.
11 Sept 2017
New