Video : Ali Kiba Ajibu kwa nini Hamsaidii Abdu Kiba Afanikiwe Kimuziki - MULO ENTERTAINER

Latest

2 Jun 2016

Video : Ali Kiba Ajibu kwa nini Hamsaidii Abdu Kiba Afanikiwe Kimuziki

Abdu Kiba na Ali Kiba Katika Pozi
Baada ya kupata dili la kujiunga na label kubwa sana duniani ya Sony, watu wengi walimpongeza kwa hatua kubwa aliyofikia. Kwani Kiba ndio msanii wa kwanza Tanzani ambae kazi zake zitakua zikisimamiwa na kampuni hiyo kubwa.

Ni ukweli usiofichika kua Kiba ni msanii mkubwa sio tu Tanzania bali Afrika nzima. Watu wengi wamekua wakijiuliza ni kwa nini Kiba hamsaidii mdogo wake Abdu Kiba ili na yeye awe maarufu na mwenye mafanikio kama yeye?? Kiba amejibu swali hilo,

Unaweza tazama video hapa chini kumskia....