Mbwana Samatta Afanya Mambo Tena Genk...Tazama Goli lake la Ushindi Alilofunga Jana - MULO ENTERTAINER

Latest

1 Aug 2016

Mbwana Samatta Afanya Mambo Tena Genk...Tazama Goli lake la Ushindi Alilofunga Jana

Mbwana Samatta anazidi kuonyesha uwezo mzuri wa kupachika mabao baada ya jana kupachika bao lililoipa ushindi Genk wa bao mbili kwa moja dhidi ya Oostende.,
Mbwana Samatta aliingia uwanjani dakika ya 80 na katika dakika 91 akapachika bao

Tazama Video Hapa jinsi alivyopachika bao safi: