Kijana anayedai ni mdogo wake diamond analalamika kaka yake amemtosa, sasa sijui kama ni mdogo wake kweli ila wanaongea sawa na wanafanana Read more