Ali Kiba: Sina Nyumba Bado, na Hata Nikiwa Nayo Sitajitangaza - MULO ENTERTAINER

Latest

27 Oct 2016

Ali Kiba: Sina Nyumba Bado, na Hata Nikiwa Nayo Sitajitangaza

Msanii Ali Kiba amekataa nyumba inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikuhusishwa na yeye na kusema bado anaishi kwenye nyumba ya kupanga na hata kama alikuwa amejenga nyumba hawezi kufanya show off:

Msikie Hapa: