Jackline Wolper Kuhusu Wanaosema Ana Mimba ya Miezi Mitatu… - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Oct 2016

Jackline Wolper Kuhusu Wanaosema Ana Mimba ya Miezi Mitatu…

Ni October 16 2016 ambapo msanii kutoka kwenye tasnia ya Filamu Jackline Wolper  aliingia kwenye kikaango cha mashabiki wake baada ya kupost picha ikionesha ana ujauzito huku wengi wakiwa na maswali tofauti.


Sasa basi staa huyo aliamua kuyaandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema
Hatimaye nikakavua kale kamkanda nakukatua kaa mkanda kametengeneza mimba yamiezi mitatu wakati ndo kwanza mwezi...Mkanda leo ndo mwisho wako tena nakuacha huku huku china ndege aupandi bhana’