Majina Ya Alikiba Na Millard Ayo Yalivyotumika Kutapeli - MULO ENTERTAINER

Latest

27 Oct 2016

Majina Ya Alikiba Na Millard Ayo Yalivyotumika Kutapeli


Millard Ayo na Alikiba ni miongoni mwa watanzania maarufu waliojizolea heshima kubwa kutokana na ubora wa kazi zao.
 Pengine labda kutokana na heshima waliyonayo ndio ilikua sababu kubwa ya ndugu yetu kutoka kipande cha Gas City (Mtwara) kutapeliwa.
 Unajua nini kilijiri, ilikuaje mpaka ubuyu ukawafikia Shilawadu?, 

PLAY HII VIDEO HAPA CHINI USIKIE MCHONGO ULIVYOPANGWA: