Wakati wakazi wa Jiji la Dar es salaam,Viongozi wa vyama na serikali walipojumuika kwenye ibada ya kuuaga mwili wa aliekua Meya wa Jiji hilo na Kada wa Chama Cha Mapinduzi,(CCM),Dkt.Didas Masaburi,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli ambae aliwangoza waombolezaji kuuga mwili huo,hakuondoka msibani hapo akiacha jipu,bali aliamua kuwaacha hoi wafiwa na waombolezaji kwa kulitumbua hadharani.
JIONEE MWENYEWE.
JIONEE MWENYEWE.