Amber Lulu Na Rapa Countryboy Wanakuambia Watakoma - MULO ENTERTAINER

Latest

31 Dec 2016

Amber Lulu Na Rapa Countryboy Wanakuambia Watakoma

Licha tu ya kutajwa kama Video Vixen na Model hotcake hapa nyumbani Tanzania mrembo Amber Lulu ametuonyesha upande wa pili wa maisha yake, kumbe mbali na kuuza sura kwenye videos na shows mbalimbali za wasanii wengine Amber pia ni muimbaji mkali tu.

 Cheki hii inaitwa watakoma amempa shavu Rapa Country Boy.