Kama ni mfuatiliaji wa mastori ya mastaa wa Bongo basi nutakua ulishakutana na hii ya Cookie (Mtoto wa Aunty Ezekiel) kutajwa kuwa sio mtoto halali wa Baba yake amabe sisi wote tunamfahamu kama Mose Iyobo wa WCB.
Kipindi cha nyuma aliwahi kuhusishwa mheshimiwa fulani wa Serikalini, Achana na hiyo siku za hgivi karibuni ameibuka mshikaji anaedai kuwa ni mhusika halisi kbisa kwenye uzazi wa Cookie (Yaani Baba Mzazi) Kama unavyoweza kumsikia hapa wakati akibwabwaja juu ya kipaza cha +SHILAWADU TVKatika kutafuta uthibitisho wa madai hayo, Shilawadu tuliamua kumtafuta @Aunty Ezekiel na alikuwa na haya ya kusema:
31 Dec 2016
New
Alichokisema Aunty Ezekiel Baada Ya Kujitokeza Mshikaji Anaedai Ni Baba Halali Wa Cookie
Unknown
Newer Article
Amber Lulu Na Rapa Countryboy Wanakuambia Watakoma
Older Article
Tekno Awakimbiza Wasanii Wa Afrika, Wizkid, Yemi Alade, Casper Nyovest Na Alikiba Wajitutumua
Labels:
Aunt Ezekiel,
Udakuzi