MATOKEO: Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2016/17 haya hapa. - MULO ENTERTAINER

Latest

31 Jan 2017

MATOKEO: Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2016/17 haya hapa.

Leo January 31 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2016’ na matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2016
Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha nne kwenye link iliyoandikwa ‘CSEE 2016’ >>>CSEE 2016
Unaweza pia kuyatazama matokeo ya matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2016  >>>(QT) 2016