Mbunge Peter Lijualikali wa CHADEMA Atupwa Jela Miezi Sita Bila Faini - MULO ENTERTAINER

Latest

12 Jan 2017

Mbunge Peter Lijualikali wa CHADEMA Atupwa Jela Miezi Sita Bila Faini


KILOMBERO: Mbunge Peter Lijualikali wa CHADEMA pamoja na dereva wake John Bikasa wamehukumiwa miezi 6 jela bila ya faini.
Wawili hao walikuwa na mashtaka ya kuwashambulia Askari wa Jeshi la Polisi.