Breaking News..Mbowe Atumbua Jipu la Madawa ya Kulevya ,Awataja Wahusika Wakuu Huku Akimwambia Makonda Asimchezee Ovyo(video)..!!! - MULO ENTERTAINER

Latest

11 Feb 2017

Breaking News..Mbowe Atumbua Jipu la Madawa ya Kulevya ,Awataja Wahusika Wakuu Huku Akimwambia Makonda Asimchezee Ovyo(video)..!!!


Freeman Mbowe amesema hatafika polisi kwa kuitwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Amekanusha vikali tuhuma za kuhusika na biashara au kutumia madawa ya kulevya.

Anasema wao kama chama wanaunga mkono jitihada za mapambano dhidi ya dawa za kulevya.