Mwanza: Ashikiliwa na Polisi kwa Kumuingilia Kimwili Mbuzi Jike..!!! - MULO ENTERTAINER

Latest

12 Feb 2017

Mwanza: Ashikiliwa na Polisi kwa Kumuingilia Kimwili Mbuzi Jike..!!!


Wakazi wa Mwanza wameshuhudia kituko baada ya mkazi wa jiji hilo, Jumanne Nasibu kumuingilia kimwili mbuzi jike. Tukio hilo lilitokea baada ya mmiliki wa mbuzi hao kuwafunga malishoni wakiwa sita na baadae kuwakuta wakiwa watano na kuanza kumsaka mmoja kwa hofu ya kuibiwa ndio alipokumbana na mkasa huo.

Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, amewataka wananchi kuripoti ili sheria zichukuliwe dhidi yao