Video : Ben Pol afunguka kuhusu kuwepo kwa bifu kati yake na Baraka Da Prince - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Feb 2017

Video : Ben Pol afunguka kuhusu kuwepo kwa bifu kati yake na Baraka Da Prince

Siku za hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa la baadhi ya wasanii kuwatuhumu wasanii wenzao kua wamewaibia mashairi au wimbo mzima. Wengi hujitokeza mda mchache baada ya nyimbo hiyo kuachiwa.

Habari zilizopo kitaani ni kua kuna bifu la chinichini kati ya Baraka Da Prince na Ben Pol kuhusiana na tuhuma kua Ben Pol aliiba wimbo wa Moyo Mashine kwa Baraka. Ben Pol ameamua kujibu tuhuma hizo kwa kukanusha na kusema hayaaa, bonyeza play hapa chini kutazama alichokisema