Picha: Tunda na Wenzake Wafikishwa Mahakamani Leo... - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Feb 2017

Picha: Tunda na Wenzake Wafikishwa Mahakamani Leo...



Wasanii akiwemo Tunda,na Rachael na baadhi ya watu wanaoshikiliwa na kituo cha polisi kati kwa tuhuma ya dawa za kulevya wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Watuhumiwa hao wameshushwa nyuma ya majengo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu huku baadhi ya wakijifunika nyuso zao kukwepa camera za mapaparazi...