Mjadala wa Watuhumiwa wa biashara na watumiaji wa dawa za kulevya
umeendelea kuchukua nafasi baada ya kuibuliwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es
salaam Paul Makonda.
Mjadala umefika mpaka Bungeni Dodoma na baadhi ya Wabunge waliosikika
wakichangia ni pamoja na Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga aliyesema yupo
tayari hata kuwataja baadhi ya wabunge wanaohusika na bishara hiyo.
Tazama hii Video hapa chini akichangia ishu mbalimbali ikiwemo na hiyo: