Wanaumeee!!! Kama kawa kama dawa Brigedia wenu mpelelezi A.K.A mtetezi
wa kambi ya kiumeni ninaendelea kutekeleza majukumu yangu ya
kuhakikisha Majita wote wanaishi kwa kuserereka bila kukwama yani.
'
Ebhana washkaji zangu juzikati nilienda kumnunulia manzi mmoja hivi
Underwear, Sasa kuna demu nikakutana nae hapo dukani na nikawa napiga
nae stori za mbili tatu, kwaufupi huyo demu tunafahamiana juu juu tu,
Ile katika utani wa hapa na pale akawa anaelezea Uzoefu wake wa ku-date
na wanaume wa aina mbali mbali, na akagusia kitu kimoja ambacho
kimenifanya mpaka niandike hii thread,
Alisema yeye kabla ya kumkubalia Njemba kwenda nae kusex huwa
anahakikisha anafanya juu chini mpaka anahakikisha anaupapasa mjegejo
ili kuujua ukubwa wake,
Na kama atahisi ni mkubwa na utamuumiza au hatoweza kuhimili
mikikimikiki yake basi atatunga mauongo ya fasta na kutoa vijisababu
kibao ilimradi tendo lihairishwe.
Na akasema hiyo mbinu wanaitumia wanawake kisirisiri na ndomana unakuta
demu ameshakulia vitu vyako au mmeshaahidiana lakini ghafla
anakubadilikia na mnajikuta mnasitisha shughuli ya kulegeza chaga,
'
Sasa Maninja eeeh inabidi tuweke mikakati madhubuti ya kuhakikisha
haturuhusu mademu kuipapasa mitulinga yetu kivyovyote vile, Na hii ifike
mbali zaidi na iwe kwa wote hata wale wakuitwa vibamia pia! Manake
unaweza ukakutana na demu kama Evelyn Salt Ambae anapenda dude la
kijeshi, sasa akikupapasa akakutana na mbilimbi basi HESABIA
UMEUMIA...!!!
Am Done!