Leo nimeona nilete hili jambo, katika ujana wangu nimebahatika na kuwa
na mahusiano ya kimapenzi na zaidi ya msichana mmoja ila kitu nilicho
gundua hata wewe jalibu kufanya utafiti
kama upo kwenye mapenzi na mwanamke zaidi ya miaka miwili na hujabahatika walau siku moja
kuona machozi yake basi tambua huyo mwanamke hana mapenzi ya dhati kwako chamsingi
nikuchukua tahadhari mapema OVA.
7 Aug 2017
New