Roma Aibukia Clouds FM Akiwa na Stamina...Washangaza Watu Kwa Kutumia Majina ya Zari na Wema - MULO ENTERTAINER

Latest

16 Aug 2017

Roma Aibukia Clouds FM Akiwa na Stamina...Washangaza Watu Kwa Kutumia Majina ya Zari na Wema

Roma na Stamina wametinga studio za clouds fm wamevaa jezi.

Jezi ya RomaMkatoliki Imeandikwa WEMA ya Stamina Imeandikwa ZARI.
.
Unadhani wana maana gani?