Jumamosi hii bosi wa kituo cha EFM, Majay amesherekea siku yake ya kuzaliwa – Hamisa Mobetto ambaye pia ni ex wake hakubaki nyuma kumuandikia ujumbe mzuri.
Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameandika
“Happy Birthday Baba Fantasy … Ahsante Kwa kua Baba bora Na zaidi Kwa Mwanetu. M/Mungu Akutunze, Akulinde Na Akuzidishie Maendeleo Tele . Tunakupenda sana & Thank you for always being here ππΎπ #coparentingatitsfinest @majizzo.”
Majay na Hamisa waliwahi kuwa na mahusiano ambapo walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike kabla ya kuachana.
10 Sept 2017
New