Bilionea wa Nyumba za Lugumi Afunguka Kuvutiwa na Wema Sepetu - MULO ENTERTAINER

Latest

18 Nov 2017

Bilionea wa Nyumba za Lugumi Afunguka Kuvutiwa na Wema Sepetu

Bilionea wa Nyumba za Lugumi Afunguka Kuvutiwa na Wema Sepetu
BILIONEA wa nyumba za Lugumi, Dkt Louis Shika amemfungukia ‘Tanzania Sweetheart’, Wema Issac Sepetu kuwa ni staa ambaye anamkubali ukiachana na huyo kwa upande wa muziki Ray C ni mmoja wa mwanadada ambaye anamkubali kupitia nyimbo yake ya nataka niwe na wewe milele.
Bilionea huyo ambaye amekuwa staa kwa muda mfupi kwa umaarufu wa Jina la 900 Itapendeza baada ya mnada wa nyumba za Lugumi bilionea akatambulika kwa jina hilo.