Alichokisema Edo Kumwembe Baada ya Zuma Kujiuzulu na Zari Kumwacha Daimond - MULO ENTERTAINER

Latest

15 Feb 2018

Alichokisema Edo Kumwembe Baada ya Zuma Kujiuzulu na Zari Kumwacha Daimond

Alichokisema Edo Kumwembe Baada ya Zuma Kujiuzulu na Zari Kumwacha Daimond


Moja kati ya stori zilizochukua headlines usiku wa jana February 14 2018 ni pamoja na maamuzi ya Zari The Boss Lady kutangaza kuachana na mpenzi wake Diamond Platnumz kwa madai ya skendo za usaliti wa kimapenzi.

Kingine kilichochukua headlines ni maamuzi ya Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma kutangaza kujiuzulu nafasi yake hiyo ya Urais kwa tuhuma mbalimbali ambazo zimetolewa na chama chake.



Mchambuzi wa masuala ya soka Edo Kumwembe ambaye anapenda kuandika vitu vya utani katika account yake ya instagram baada ya matukio hayo akaandika hivi “Rais wangu Zuma kajiuzulu, shemeji yangu Zari kajiuzulu, kocha wangu Wenger HATAKI 😀😀😀😀😀😀”