Watoto Sita Wafariki Katika Ajali ya Gari Tanga - MULO ENTERTAINER

Latest

29 May 2018

Watoto Sita Wafariki Katika Ajali ya Gari Tanga

Mwonekano wa gari lililopinduka.

WATOTO sita wamefariki dunia leo na watatu kujeruhiwa vibaya baada ya gari lililokuwa limebeba majani ya chai kutoka kijiji cha Kimbo, Wilaya ya Korogwe, Tanga, kupinduka.

Majeruhi wamepelekwa hospitali ya Korogwe.


Miili ya watoto waliofariki katika ajali hiyo.