FAHAMU: Nguruwe ndio Mnyama pekee Mwenye Magonjwa Mengi Kuliko Mnyama yeyote yule Anaeliwa - MULO ENTERTAINER

Latest

14 Sept 2018

FAHAMU: Nguruwe ndio Mnyama pekee Mwenye Magonjwa Mengi Kuliko Mnyama yeyote yule Anaeliwa

Nguruwe Ndio Mnyama Pekee Mwenye Magonjwa Mengi Kuliko Mnyama Yeyote Yule Anaeliwa.

Huwa Nashangaa Sana Hasa Walaji Wa Nyama Hii Ikiwa Waandaji Huwa Hawaichemshi Kwanza Kabla Ya Kuikaanga, Ukitaka Kitimoto Inakatwa Inawekwa Kwenye Mafuta Tayari Kwa Kuliwa.

Kiafya Ni Hatari kula bila ya nyama hiyo kuchemshwa kwanza ili kuuawa wadudu