Socialite maarufu kutoka pande za Kenya Huddah Monroe ameibuka na kuwatolea povu zito wasichana warembo ambao wamekuwa wakimuiga kwa kupiga picha za nusu utupu na kuzitupia Kwenye mitandao ya kijamii.
Huddah amejizolea umaarufu Afrika mashariki na kati kutokana na umbo lake matata na pia picha zake za utupu ambazo zimekuwa zikizua gumzo Kwenye mitandao ya kijamii.
Huddah amewaonya wasichana juu ya picha hizo ambapo kupitia Snapchat amedai kuwa anafanya hivyo kwa sababu yeye analipwa bidhaa za nguo za ndani (bikini) au Hoteli ambayo huwa amefikia kwa muda huo.
Najua wasichana wengi wananiangalia sana kama kioo cha jamii, lakini sidhani kama wengi wanavutiwa na picha zangu za utupu ninazotupia mitandaoni, Haya mambo inatakiwa wazazi wao na hao wenyewe waelewe kuwa mimi nalipwa kufanya hivyo kwa sababu ya matangazo ya bidhaa. Mara zote huwa nalipwa kutangaza bikini au hoteli ninayofikia, siwezi kufanya vile kujifurahisha”.